Kitengo cha Nyuki kimeundwa na sehemu 2 ambazo ni:
Nyuki na Misitu
Nyuki ina majukumu yafuatayo:
1. Kusimamia uanzishaji wa hifadhi za nyuki na manzuki
2. Kutangaza sera na sheria za ufugaji nyuki
3. Kukusanya takwimu za rasiliali na ufugaji nyuki
4. Kupanga na Kupima ubora wa mazao ya nyuki
5. Kutoa elimu juu ya mbinu bora za ufugaji nyuki na uhifadhi wa bioanuai
Misitu ina majukumu yafuatayo
1. Kusimamia upandaaji na uhudumiaji wa miti na misitu
2. Kusimamia uendelezaji wa misitu ya kupandwa na ya asili
3. Kufanya utafiti wa misitu
4. Kutekeleza sera na sheria za misitu
5. Kukusanya Takwiu za Misitu
6. Kupanga na kupima madaraja ya mbao
7. Kudhibiti leseni na uvunaji wa miti
8. Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendeleaji na matumizi endelevu ya miti kwa wananchi
9. Kufanya ukadiriaji wa rasilimali za misitu
10. Kupima maeneo na kuchora ramani za misitu
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: +255714800948
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa