• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mipango
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mifungo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa lapitisha bajeti ya shilingi bilioni 66.2

Posted on: February 17th, 2021

Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kwa pamoja limepitisha bajeti ya kiasi cha shilingi bilioni 66,286,660.980.70 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wake wa matumizi katika sekta mbalimbali ikiwemo miradi ya maendeleo katika kipindi cha mwaka 2021/2022.

Akisoma baraza taarifa hiyo Februari 17 mwaka huu kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Afisa Mipango Wilaya Francis Kaunda wakati wa kikao maalum cha kujadili mapendekezo ya mpango wa bajeti hiyo ambayo itatumika kutekeleza miradi ya maendeleo , kulipa mishahara ya watumishi na matumizi ya kawaida ya uendeshaji shughuli za halmashauri.

Akiwakaribisha madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti hiyo Mwenyekiti wa baraza la madiwani Mh Wilferd Sumari aliwataka madiwani hao kujadili bajeti hiyo katika maslahi mapana ya kuiletea hamlshauri maendeleo na kupunguza kero na shida za wananchi katika maeneo yao.

Wakitoa michango yao madiwani hao kwa pamoja wamesema licha ya kupitisha bajeti hiyo wameomba kuongezwa kwa ubunifu zaidi katika suala zima la ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa kupitia njia mbalimbali  za kubuni vyanzo vipya vya mapato huku wakianisha vyanzo mbalimbali kama vile ushuru wa miwa, machinjio ya nguruwe, ushuru wa ngozi na vyanzo vingine ambavyo wametaka viwekewe mpango endelevu ambao utasaidia kuingiza mapato katika siku za usoni.

Naye mbunge wa jimbo la Mikumi Mh Dennis Londo amewapongeza madiwani hao kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kujadili na kupitisha bajeti hiyo huku akisisitiza kufanya kazi kwa bidii na mshikamano  ili kuwaletea wananchi maendeleo katika nyanja mbalimbali kwa kuzingatia miongozo, taratibu na sheria.

Tangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTION) KIDATO CHA KWANZA 2021 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA HALMASHAURI YA WILAYA KILOSA December 24, 2020
  • ZABUNI January 31, 2017
  • SOMA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA March 24, 2017
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Kikundi cha KIWASAI chafaidika na vifaranga vya samaki 1000

    April 15, 2021
  • Someni taarifa za mapato na matumizi ili shughuli za maendeleo ziende

    March 19, 2021
  • Simamieni ipasavyo matumizi ya rasilimali za Umma

    March 18, 2021
  • Bilioni 1.2 zatengwa kwa ajili ya mradi wa maji

    March 16, 2021
  • Angalia zote

Video

HIFADHII YA WANYAMA MIKUMI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • MFUMO WA PLANREP

Kurasa za Mfanano

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • NECTA
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: +255714800948

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa