• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mipango
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mifungo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

WAKUU WA SHULE WATAKIWA KUMALIZA UJENZI WA MADARASA - MGOYI

Posted on: January 15th, 2021

Katika kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuwa ifikapo tarehe 15 Januari miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa iwe imekamilika Mkuu Wa Wilaya ya Kilosa  Adam Mgoyi ametembelea miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule mbalimbali ikiwemo shule za sekondari Mkulo, Kilosa, Dumila, Magubike, Magole na Dakawa Mazoezi ili kujiridhisha na utendaji kazi wa miradi hiyo.

Ziara hiyo imefanyika hivi karibuni ambapo Mgoyi amesikitishwa na baadhi ya shule za sekondari kutotekeleza miradi kwa wakati kwani muda wa wanafunzi wa kidato cha kwanza kuripoti umewadia na agizo la Waziri Mkuu ni ifikapo Januari 15 miradi yote ya ujenzi wa vyumba vya madarasa iwe imekamilika ambapo ametoa siku 3 hadi kufikia Januari 17 wawe wamekamilisha miradi na kukabidhi ili wanafunzi wa kidato cha kwanza waweze kuripoti mashuleni.

Kwa upande wake Afisa Elimu Sekondari Paula Nkane amewaasa wakuu wa shule hizo pamoja na wasimamizi wa miradi kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea na badala yake wafanye kazi kwa kufuata sheria na miongozo waliyowekewa na waendelee kuwahamasisha wananchi wajitokeza katika kushiriki ujenzi wa madarasa kwani wahusika ni watoto wao, hivyo amewasisitiza maafisa watendaji kupiga la mgambo ili wananchi wajitokeze kwa wingi kuongeza nguvu kazi au kuchangia pesa zitakazowezesha mafundi kulipwa ili kazi ifanyike kwa kasi zaidi huku akiwapongeza wakuu wa shule waliotekeleza agizo hilo kwa wakati.


Tangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTION) KIDATO CHA KWANZA 2021 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA HALMASHAURI YA WILAYA KILOSA December 24, 2020
  • ZABUNI January 31, 2017
  • SOMA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA March 24, 2017
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Jamii yasisitizwa kuendelea kuchukua tahadhari

    March 03, 2021
  • Walisababisha upotevu wa fedha za saccos ya walimu Kilosa watazitapika

    February 28, 2021
  • Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa lapitisha bajeti ya shilingi bilioni 66.2

    February 17, 2021
  • Wafanyabiashara waridhia tozo ya shilingi 50,000

    February 13, 2021
  • Angalia zote

Video

HIFADHII YA WANYAMA MIKUMI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • MFUMO WA PLANREP

Kurasa za Mfanano

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • NECTA
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: +255714800948

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa