English
Kiswahili
Wasiliana Nasi
|
Maswali ya Mara kwa Mara
|
Barua pepe
|
Dawati la Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu sisi
Dira na Dhima
Maadili ya Msingi
Mikakati
Utawala
Idara
Utumishi
Fedha na Biashara
Afya
Mipango
Elimu Msingi
Elimu Sekondari
Maji
Usafi na Mazingira
Mifungo na Uvuvi
Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
Ardhi na Maliasili
Ujenzi
Vitengo
sheria
Ukaguzi wa Ndani
Manunuzi
TEHAMA
Uchaguzi
Nyuki
Mawasiliano Serikalini
Muundo wa Halmashauri
Fursa za Uwekezaji
Vivutio vya Utalii
Kilimo
Ufugaji
Huduma Zetu
Afya
Elimu
Maji
Kilimo
Mifugo
Uvuvi
Huduma za Watumishi
Madiwani
Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
Kamati za Kudumu za Halmashauri
Fedha na Uongozi
Mipango Miji na Mazingira
Uchumi, Afya na Elimu
Ukimwi
Maadili
Ratiba Mbalimbali
Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
Miradi
Miradi Itakayotekelezwa
Miradi Inayoendelea
Miradi Iliyokamilika
Machapisho
Fomu
Miongozo
Ripoti
Jarida la Mtandaoni
Kituo cha Habari
Habari
Tangazo
Maktaba
Hotuba
Vyombo vya Habari
Video
Mifugo, Kilimo na Uvuvi
MAJUKUMU YA DIVISHENI
Kuwatembelea wafugaji ili kutoa ushauri wa kitaalam katika maeneo yao ya kazi.
Kutoa chanjo ya kichaa cha mbwa na paka.
Kukagua nyama katika machinjio ya yote yaliyopo katika Wilaya ya Kilosa saa 1:00 asubuhi baada ya kuchinja kila siku.
Kutoa matibabu ya mifugo na kufanya uchunguzi wa ugonjwa.
Ukaguzi wa afya ya mifugo na mazao yake
Utambuzi wa magonjwa, ufuatiliaji na utoaji wa kinga
Kutoa ushauri na elimu bora juu ya mifugo
Kuandaa taarifa za idara za mwezi, robo mwaka na mwaka
Kufuatilia na kutekeleza miradi ya maendeleo ngazi ya kata na Halmashauri
Kufanya utambuzi na usajili wa mifugo na kuhuisha takwimu za mifugo
Kusimamia sheria ya uvuvi namba 22 ya mwaka 2003 na kanuni zake za mwaka 2009.
Kutoa elimu ya kisasa juu ya ufugaji wa samaki.
Uendelezaji ufugaji bora wa Mifugo,
Usafi na ukaguzi nyama na mazao ya mifugo,
Utoaji huduma ya ushauri, tiba na kinga za magonjwa ya Mifugo,
Uendelezaji wa miundombinu ya afya ya Mifugo na nyanda za malisho
Uendelezaji wa mazao ya Uvuvi na ushauri juu ya ufugaji bora wa samaki.
Usimamizi wa sheria za mifugo na sheria zaz Uvuvi.
Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji Wilaya katika utekelezaji wa shughuli za sekta ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi na majukumu mbalimbali ya kiofisi
Tangazo
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI APRILI, 2024
April 18, 2024
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI FEBRUARI 12, 2024
February 12, 2024
MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA
November 23, 2023
MAPOKEZI YA FEDHA TOKA SERIKALI KUU DISEMBA 2022
January 20, 2023
Angalia zote
Habari za sasa
MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU KILOSA 2024
April 22, 2024
JAMII YAASWA KUENDELEA KUPANDA MITI NA KUTUNZA MAZINGIRA
April 14, 2024
DAS KILOSA AKABIDHI MIPIRA 240 KWA SHULE ZA MSINGI
April 02, 2024
WATUMISHI WA HAMASHAURI WATAKIWA KUFUATA SHERIA,KANUNI NA TARATIBU ZA SERIKALI
March 27, 2024
Angalia zote