Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa anapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na Mkutano wa Baraza la Wahe. Madiwani litakalofanyika siku ya ijumaa Tarehe 30 Mei, 2025 katoka ukumbi wa FDC Ilonga Saa 4:00 Asubuhi.
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa