English
Kiswahili
Wasiliana Nasi
|
Maswali ya Mara kwa Mara
|
Barua pepe
|
Dawati la Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu sisi
Dira na Dhima
Maadili ya Msingi
Mikakati
Utawala
Divisheni
Utawala,Usimamizi wa Rasilimali Watu
Viwanda,Biashara na Uwekezaji
Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
Mipango na Uratibu
Elimu ya Awali na Msingi
Elimu Sekondari
Maendeleo ya Jamii
Kilimo,Mifugo na Uvuvi
Miundombinu ya Mijini na Vijijini
Vitengo
Huduma za Sheria
Ukaguzi wa Ndani
Usimamizi na Ununuzi
TEHAMA na Takwimu
Fedha na Uhasibu
Maliasili na Mazingira
Mawasiliano Serikalini
Michezo,Utamaduni na Sanaa
Michezo,Utamaduni na Sanaa
Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
Muundo wa Halmashauri
Fursa za Uwekezaji
Vivutio vya Utalii
Kilimo
Ufugaji
Huduma Zetu
Afya
Elimu
Maji
Kilimo
Mifugo
Uvuvi
Huduma za Watumishi
Madiwani
Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
Kamati za Kudumu za Halmashauri
Fedha na Uongozi
Mipango Miji na Mazingira
Uchumi, Afya na Elimu
Ukimwi
Maadili
Ratiba Mbalimbali
Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
Miradi
Miradi Itakayotekelezwa
Miradi Inayoendelea
Miradi Iliyokamilika
Machapisho
Fomu
Miongozo
Ripoti
Jarida la Mtandaoni
Kituo cha Habari
Habari
Tangazo
Maktaba
Hotuba
Vyombo vya Habari
Video
Maendeleo ya Jamii
MAJUKUMU YA DIVISHENI
Kusaidia jamii kutafsiri fursa na vikwazo vilivyopo katika mazingira yao na kutumia rasilimali zilizopo kujiletea maendeleo.
Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera za Maendeleo ya Jamii katika ngazi za vijiji na kata.
Kuratibu na kusimamia asasi za kiraia zinazotekeleza shughuli za Maendeleo katika Wilaya.
Kuratibu na kusimamia Asasi za kiraia katika wilaya ( NGOs, CBOs na vikundi vya kiuchumi)
Kuratibu na Kusimamia miradi ya Mfuko wa Wanawake (WDF) katika ngazi ya Wilaya
Kuratibu na Kusimamia miradi ya Mfuko wa Vijana (YDF) katika ngazi ya Wilaya
Kusimamia na kuratibu miradi/mipango iliyoko chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii (TASAF, CHF, KUDHIBITI UKIMWI, MKURABITA,n.k )
Kutoa mapendekeo ya kukabiliana na vikwazo vya maendeleo ya makundi maalum wakiwemo wanawake, watoto, wazee na walemavu.
Kuandikisha na kutunza rejista za vikundi vya maendeleo ya makundi maalumu wakiwemo vijana, wanawake na walemavu.
Kuhamasisha na kutoa Mapendekezo juu ya ushirikishaji jamii katika kubuni na kupanga miradi ya maendeleo kwa kutumia teknolojia rahisi na sahihi.
Kufuatilia na kuuhisha rejista za wakazi katika ngazi za vijiji na vitongoji.
Kusimamia na kutafsiri sheria za Ustawi wa Jamii (Mtoto,Wazee, Ndoa) katika ngazi ya Wilaya.
Kusaidia watu kutambua haki na wajibu wao katika kutoa huduma za kijamii na hasa makundi maalumu wakiwemno watoto, wazee na walemavu.
Kufuatilia na Kusimamia upatikanaji wa haki za wazee wenye mahitaji maalumu
Kutetea haki za watoto na wanafamilia wanaoonewa katika ngazi ya kaya na vyombo vya sheria.
Kuwezesha na kusimamia vituo vya kulelea watoto yatima
Kutekeleza mipango kuhusu watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi
Kusimamia na kutafsiri sheria ya mtoto katika ngazi ya Wilaya na vijiji
Kusimamia na kutafsiri sheria ya mtoto katika ngazi ya Wilaya, kata na vijiji
Kusaidia vijana kupata mbinu za kujiinua kiuchumi na kutambua fursa na vikwazo vilivyo katika mazingira yao na kujiletea maendeleo.
Kuhimiza maendeleo ya Elimu na Ujuzi kwa Vijana
Kutokomezaji wa umaskini na mfungamano wa vijana kiuchumi na kijamii
Kuwezesha maisha endelevu na ajira kwa vijana
Kuwezesha maendeleo endelevu na hifadhi ya mazingira
Kuhamasishaji wa maadili na desturi njema za kiafrika kwa vijana
Kuratibu mabaraza ya vijana katika ngazi ya kata na wilaya
Tangazo
TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA WAHE. MADIWANI KWA AJILI YA KUPITIA NA KUJADILI TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MBALIMBALI ZA HALMASHAURI
February 27, 2025
Tangazo la kuanzishwa Dawati Maalum la kushughulikia Migogoro ya Wakulima na Wafugaji
November 13, 2024
Tangazo la Dawati la Msaada wa Kisheria
November 13, 2024
TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI LA RISIMU NA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026
February 25, 2025
Angalia zote
Habari za sasa
DC SHAKA ATOA MKONO WA EID KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MAZINYUNGU
March 31, 2025
LAAC YAITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO.
March 29, 2025
WILAYA YA KILOSA YAADHIMISHA SIKU YA MISITU DUNIANI NA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUPANDA MITI 2000
March 22, 2025
MAKAMPUNI YA MAWASILIANO NCHINI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MINARA YOTE 758 IFIKAPO MEI 12 2025
March 14, 2025
Angalia zote