Saturday 10th, June 2023
@HALMASHAURI YA WILAYA KILOSA
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mh. Steven Kebwe anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kilosa mnamo tarehe 10/1/2018 katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa ataambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya pamba katika kutembelea maeneo yanayolima pamba
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737-847-880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa