Friday 11th, April 2025
@Ruaha K2 Senta na Shule ya Msingi Kilosa Town
Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Wilayani Kilosa Aprili 18, 2025 ambapo Mwenge wa uhuru utapokelewa katika viwanja vya K2 Senta kata ya Ruaha na kukesha katika viwanja vya shule ya Msingi Kilosa Town
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa