Sasa mtumishi unaweza kupata taarifa zako za kiutumishi na za kifedha (Salary slip) kupitia mtandao wa "Watumishi Portal". unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye Link hii hapa utumishi Portal Kisha jaza taarifa zako ili kufungua akaunti yako itakayokuwezesha kupata taarifa mbali mbali za kiutumishi
Karibu
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737-847-880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa