• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mipango
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mifungo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

KUPATA STAKABADHI YA MSHAHARA

Ili kupata Hati ya Mshahara unatakiwa kujisajili kwenye mfumo wa Watumishi Portal. Kwenye mfumo huu wa watumishi utakuwezesha kupata taarifa zako za kiutumishi.

Vitu vya kuzingatia:

  • Fahamu Majina yako kamili
  • Hakikisha una baruapepe kama huna utalazimika kufungua
  • Fahamu CHECK NO. namba yako

Ili kujisajili Bofya hapa.Kujisajili kwenye mfumo

Pia unaweza kupata hati yako ya mshahara kwa kutumia mfumo mpya wa "Government Salary Slip Portal" ambapo utajisajili kwenye mfumo.

Kwenye Mfumo huu vitu vya kuzingatia ni:

  • Check namba ya mtumishi
  • Majina kamili kama yalivyo kwenye mfumo wa Rasilimali Watu yaani HCMIS maarufu kama Lawson.
  • Tarehe ya kuzaliwa.
  • Vote Code, Sub Vote Code, Namba ya Akaunti ya Benki unayopitishia mshahara.
  • Fahamu pia Salary Scale, Salary Grade na Salary Step.
  • Barua pepe (Email) inayofanya kazi.

Ili kujisajili Bofya  https://salaryslip.mof.go.tz/Manage/EmployeeRegistration

au kuingia kwa waliojisajili kwenye Government Salary Slip Portal Bofya  https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=%2F

Tangazo

  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI October 11, 2021
  • ZABUNI January 31, 2017
  • SOMA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA March 24, 2017
  • UTARATIBU WA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA March 24, 2017
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • VIONGOZI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MAADILI

    June 05, 2023
  • Vikundi vilivyopata mikopo vyatakiwa kufanya marejesho kwa wakati

    June 02, 2023
  • Vikundi vilivyopata mikopo vyatakiwa kurejesha kwa wakati

    June 02, 2023
  • Shaka aahidi kushirikisha wananchi utatuzi wa changamoto

    May 31, 2023
  • Angalia zote

Video

HIFADHII YA WANYAMA MIKUMI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • MFUMO WA PLANREP

Kurasa za Mfanano

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • NECTA
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737-847-880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa