• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Divisheni
      • Utawala,Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Miundombinu ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Fedha na Uhasibu
      • Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
        • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Jarida la Mtandaoni
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

DC SHAKA AWATAKA VIONGOZI NGAZI YA KATA NA VIJIJI KUSIMAMIA NA KUFUATILIA MIRADI YA MAENDELEO IPASAVYO

Posted on: June 19th, 2025

Mkuu Wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka amewataka vingozi kuanzia ngazi ya Wilaya, Kata na Vijiji kusimamia miradi ipasavyo ili kurekebisha na kutatua kwa haraka changamoto zinazojitokeza lengo likiwa ni kukamilisha miradi kwa wakati na kwa viwango vinavyostahili.

Mhe. Shaka ameeleza hayo Juni 19, 2025 katika  ziara yake ya Kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo  ambapo amesema viongozi wawajibike ipasavyo katika kutekeleza majukumu yao hususani katika usimamizi mzuri na ufatiliaji wa karibu wa miradi hiyo ili ikamilike kwa wakati na ianze kutoa huduma bora kwa wananchi.

“ Viongozi simamieni miradi kwa karibu, rekebisheni  mapungufu au changamoto zinajitokeza na kuhakikisha zinatatuliwa  kwa wakati” Alisisitiza Mhe. Shaka

Pia Mhe. Shaka  amesihi wasimamizi wa miradi ngazi ya Kata na kijiji kuhamasisha wananchi kujitolea nguvu kazi katika  utekelezaji wa miradi hiyo kwa ajili ya maendeleo ya vijiji na Kata.

Ziara hiyo ya siku mbili imehitimishwa leo kwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Ujenzi wa shule Mpya ya Sekondari Amali, Ujenzi wa kituo cha Zahanati Kwambe, Ujenzi wa shule mpya ya msingi Matongolo na  Ujenzi wa mabweni 2 , madarasa 4 na matundu 10 ya vyoo  katika shule ya sekondari Dumila.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KILOSA DC June 06, 2025
  • Tangazo la kuanzishwa Dawati Maalum la kushughulikia Migogoro ya Wakulima na Wafugaji November 13, 2024
  • Tangazo la Dawati la Msaada wa Kisheria November 13, 2024
  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI LA RISIMU NA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 February 25, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • DC SHAKA AWATAKA VIONGOZI WA VIJIJI KUCHUKUA HATUA DHIDI YA UVUNJIFU WA AMANI KIDUHI

    June 16, 2025
  • DC SHAKA AWATAKA VIONGOZI NGAZI YA KATA NA VIJIJI KUSIMAMIA NA KUFUATILIA MIRADI YA MAENDELEO IPASAVYO

    June 19, 2025
  • DC SHAKA AWATAKA WAZAZI / WALEZI KUWAJIBIKA KATIKA MALEZI BORA YA WATOTO

    June 16, 2025
  • TIMU YA MENEJIMENTI KILOSA YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    June 12, 2025
  • Angalia zote

Video

RAIS SAMIA ATENGA BILIONI 7.2 KUENDELEZA BONDE LA RUHEMBE
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • e-Mrejesho
  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI

Kurasa za Mfanano

  • e-Mrejesho
  • Mkoa Morogoro
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737847880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa