• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Divisheni
      • Utawala,Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Miundombinu ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Fedha na Uhasibu
      • Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
        • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Jarida la Mtandaoni
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

ijue reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa

Posted on: April 27th, 2018

Serikali ya Awamu ya Tano katika kuhakikisha inawaletea wananchi maendeleo kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)  imekusudia kujenga reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa hapa nchini ikiwa na upana wa mita 1435 reli ambayo inapatikana duniani kote kwa zaidi ya asilimia hamsini na tano.

Akielelzea kuhusu reli hiyo Mhandisi wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa Ismail A.Ismail amesema reli hiyo itakuwa ikipitisha treni zitakazoendeshwa kwa nguvu ya umeme na itakuwa na mwendo kasi usiopungua kilomita 160 kwa saa huku lengo la reli hiyo likiwa ni kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji nchini hususan katika sekta ya reli.

’’Miongoni mwa mambo yatakayorahisishwa kutokana na uwepo wa reli hiyo ni ongezeko la usafirishaji mizigo ambapo reli itabeba mzigo mpaka wa tani 10,000 kwa mkupuo sawa na uwezo wa malori 500 ya mizigo, uokoaji wa muda kusafiri kwa abiria na mizigo, uboreshaji huduma za kijamii ikihusisha ujenzi wa shule, vituo vya afya na ujenzi wa barabara katika maeneo yatakayopitiwa na mradi pamoja na kuchochea maendeleo katika sekta ya kilimo, biashara, madini na viwanda’’. Ameongeza mhandisi

Aidha Ismail amesema ujenzi wa reli hiyo upo katika awamu tano ,awamu ya kwanza ni Dar es salam - Morogoro, ya pili Morogoro - Makutupora, awamu ya tatu Makutupora - Tabora, awamu ya nne Tabora - Isaka, awamu ya tano Isaka - Mwanza, ambapo awamu ya kwanza ilizinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Aprili 12 2017 na awamu ya pili  Machi 14 2018.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa rai kwa  wananchi kutumia vizuri fursa ya uwepo wa mradi huo kwa kuchangamkia fusra za ajira  na kibiashara zitakazojitokeza, kuchukua tahadhari ya magonjwa  na kuwa wazalendo kwa kulinda mali zote za mradi ili kuhakikisha serikali ya awamu ya tano inatekeleza vema jukumu la kutuletea maendeleo.

Tangazo

  • TANGAZO LA KONGAMANO LA VIJANA WILAYANI KILOSA April 04, 2025
  • Tangazo la kuanzishwa Dawati Maalum la kushughulikia Migogoro ya Wakulima na Wafugaji November 13, 2024
  • Tangazo la Dawati la Msaada wa Kisheria November 13, 2024
  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI LA RISIMU NA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 February 25, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAMETAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 07, 2025
  • RC MALIMA AWATAKA WAAJIRI MOROGORO KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI WAO

    May 01, 2025
  • WALIMU WAPYA 74 WILAYANI KILOSA WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI KUHUSU MAADILI NA HAKI ZA UTUMISHI WA UMMA

    April 29, 2025
  • KILOSA YABORESHA USIMAMIZI NA UFATILIAJI WA MIKOPO YA 10% KWA UNUNUZI WA GARI JIPYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

RAIS SAMIA ATENGA BILIONI 7.2 KUENDELEZA BONDE LA RUHEMBE
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • e-Mrejesho
  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI

Kurasa za Mfanano

  • e-Mrejesho
  • Mkoa Morogoro
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737847880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa