• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Divisheni
      • Utawala,Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Miundombinu ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Fedha na Uhasibu
      • Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
        • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Jarida la Mtandaoni
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

Mbunge wa Jimbo la Mikumi aongezqa nguvu ujenzi wa madarasa

Posted on: February 2nd, 2021


Mbunge wa jimbo la Mikumi Mh. Dennis Londo amekabidhi mifuko 200 ya saruji katika shule ze sekondari Iwemba, Lyahira, Kidodi na Ruhembe ambapo kila shule imekabidhiwa mifuko 50 ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono agizo la Waziri Mkuu la kuhakikisha kila shule inapokea wanafunzi wote waliochaguliwa kidato  cha kwanza na kuwa na madarasa ya kutosha kwa ajili ya watoto hao waweze kusoma vizuri.

Mh. Londo amekabidhi mifuko hiyo ya saruji Februari mosi mwaka huu katika shule hizo ambapo amesema ugawaji huo wa mifuko hiyo ni muendelezo wa ofisi ya mbunge wa jimbo la Mikumi ambao hadi sasa umeshatoa mifuko 400 ya saruji ikiwa ni katika kuunga mkono jitihada za ujenzi wa vyumba vya madarasa ambazo unaoendelea katika shule mbalimbali.

Aidha amesema kuwa kwa upande wa shule ya sekondari Ruhembe mifuko 50 hiyo itatumika kuongeza nguvu katika ujenzi wa jengo la utawala kwani kwa sasa walimu wanatumia vyumba vya madarasa kama ofisi hivyo kufanikisha ujenzi  wa jengo la utawala kutafanikisha walimu kuwa na ofisi zao na hivyo kupelekea madarasa yanayotumika kama ofisi kuanza kutumika na wanafunzi kwa ajili ya masomo yao.

 Mh. Abdulatif Kaid diwani wa kata ya Kidodi

Mh. Alex  Gwila diwani wa kata ya Ruaha

Kwa upande wa diwani wa kata ya Kidodi Mh.  Abdulatif Kaid na diwani wa kata ya Ruaha  Mh. Alex Gwila  wamemshkuru mbunge wa Mikumi kwa namna ambavyo ameunga mkono kazi ya ujenzi inayoendelea katika kata zao na kwamba saruji hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kazi hiyo ambapo wanategemea baada ya ujenzi huo wanafunzi watakaa madarasani kwa nafasi bila kubanana kutokana na uwepo wa madarasa ya kutosha.

                                                                            Kaka Mkuu shule ya Sekondari Iwemba Salum Athumani

Naye Kaka Mkuu wa shule ya sekondari Iwemba Salum Athumani kwa niaba ya wanafunzi wa shule zote zilizopata mifuko ya saruji amemshukuru mbunge wa jimbo la Mikumi kwa namna ambavyo ameonyesha kuwajali kwa kuhakikisha shule zinakuwa na madarasa ya kutosha ambapo amesema anaamini kupitia uwepo wa madarasa hayo utawasaidia kukaa madarasani kwa nafasi na kujisomea kwa uhuru nyakati zote.

Tangazo

  • TANGAZO LA KONGAMANO LA VIJANA WILAYANI KILOSA April 04, 2025
  • Tangazo la kuanzishwa Dawati Maalum la kushughulikia Migogoro ya Wakulima na Wafugaji November 13, 2024
  • Tangazo la Dawati la Msaada wa Kisheria November 13, 2024
  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI LA RISIMU NA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 February 25, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAMETAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 07, 2025
  • RC MALIMA AWATAKA WAAJIRI MOROGORO KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI WAO

    May 01, 2025
  • WALIMU WAPYA 74 WILAYANI KILOSA WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI KUHUSU MAADILI NA HAKI ZA UTUMISHI WA UMMA

    April 29, 2025
  • KILOSA YABORESHA USIMAMIZI NA UFATILIAJI WA MIKOPO YA 10% KWA UNUNUZI WA GARI JIPYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

RAIS SAMIA ATENGA BILIONI 7.2 KUENDELEZA BONDE LA RUHEMBE
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • e-Mrejesho
  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI

Kurasa za Mfanano

  • e-Mrejesho
  • Mkoa Morogoro
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737847880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa