• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mipango
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mifungo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

Mradi wa Fursa za ajira kwa Vijana wagawa vitendea kazi kwa vijana wa mradi

Posted on: November 30th, 2022

Katika kuhakikisha inaunga mkono juhudi za Serikali mradi wa fursa kwa vijana awamu ya pili (OYE II) unaotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV) pamopja na mashirika zawa ikiwemo MJUMITA umekabidhi vifaa mbalimbali vijana walio chini ya mradi wa fursa za ajira kwa vijana wa awamu ya pili kwa lengo la kuwawezesha kujikwamua kwa kuwapatia vitendea kazi vyenye thamani ya shilingi 34,468,000 ili kuwasaidia vijana hao kujikwamua kiuchumi.

Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Kamanda wa TAKUKURU Gwakisa Gwamaka amewataka vijana hao waliopata mafunzo katika maeneo mbalimbali kutumia vifaa hivyo kwa kuchochea maendeleo yao na wilaya kiujumla ikiwemo kujitambua nafasi zao katika jamii na kuwa wabunifu kupitia shughuli zao kwani inategemea kuwaona kuwa chachu njema kwa vijana vingine na kuwa kichocheo kwa wafadhili ili kuleta miradi mingine itakayosaidia vijana wengine zaidi.

Aidha ametaka vifaa hivyo kutunzwa kwa umakini mkubwa ili viwezwe kudumu na kuzalisha zaidi kwani kwa utunzaji huo vitazidi kuleta matokeo chanya na kwamba matarajio ni kuona uwepo wa nidhamu ya matumizi ya fedha zitakazopatikana kupitia shughuli zao lakini pia kuweka akiba ambayo itawasaidia kuongeza vifaa vingine na kukuza pato lao.

Akibainisha vifaa vilivyokabidhiwa Mratibu wa Sughuli za mradi fursa za ajira kwa vijana Hamza Mkomolwa amesema vifaa hivyo ni mizinga ya nyuki 10, mashine 4 za kutengenezea majiko, mashine 2 kubwa na ndogo moja za kutotoleshea mayai, solo 5, viriba rola 2 na birika 2 za kumwagilia vifaa vya kufanyia kazi ya urembo ikiwemo dryer 9, madawa ya kilimo na mifugo pamoja na  mbolea ambapo vifaa hivyo vitatumika na vijana hao ambao tayari wamepata mafunzo.  


Aidha kwa upande ukaguzi wa fedha za Serikali Halmashauri kupitia mkaguzi wa ndani kwa kushirikiana na mkaguzi toka MJUMITA ilifanya ukaguzi wa fedha za Serikali kwa lengo la kufanya tathmini ya utawala bora kwa vijiji vya Kitunduweta, Chabima, Ulaya Mbuyuni, Unone na Ihombwe vinavyomiliki misitu ya jamii ili kutathmini na kuthibitisha uimara wa mifumo ya uthibiti wa ndani wa usimamizi wa fedha za kijiji, usimamizi wa misingi ya utawala bora kwa kwa kuhakikisha kuwa sheria , kanuni na miongozo inazingatiwa.

Tangazo

  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI October 11, 2021
  • ZABUNI January 31, 2017
  • SOMA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA March 24, 2017
  • UTARATIBU WA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA March 24, 2017
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Kilosa kufanya sensa ya mifugo

    December 29, 2022
  • Kilosa kunufaika na mradi wa BOOST

    December 24, 2022
  • Kilosa yaendelea kutambua juhudi za Serikali kwa Watumishi wa Umma na Wananchi-DED Kilosa

    December 19, 2022
  • -Serikali haitosita kulinda Rasilimali watu kwa maslahi ya Maendeleo ya Taifa- Mh. Mhagama

    December 20, 2022
  • Angalia zote

Video

HIFADHII YA WANYAMA MIKUMI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • MFUMO WA PLANREP

Kurasa za Mfanano

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • NECTA
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737-847-880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa