Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Adam Kghoma Malima amefanya kikao cha kuhakiki na kupitia Bajeti za Halmashauri za Wilaya za Mkoa Morogororo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ambapo Halmashauri ya Wilaya ya kilosa ni miongoni ya halmashauri iliyoshiriki vikao hivyo vilivofanyika katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Morogoro,ambapo pamoja na mambo mengine Mkuu wa Mkoa amesema Bajeti izingatie utengaji wa fedha asilimia 10 mikopo ya wakina mama,vijana na Watu wenye ulemavu,asilimia 30 kwaajili ya Miradi ya maendeleo,lishe mashuleni TASAF,Chanjo kwa watoto chini ya miaka 5.
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa