Mkuuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa wito kwa wananchi kuwa na tafakari ya kina na kuwa na muda wa kuzitambua vema sheria za ardhi na tafsiri zake katika umiliki kabla ya kuanzisha migogoro ya ardhi ikiwemo migogoro ya mipaka ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.
Mgoyi ametoa wito huo Januari 9 mwaka huu wakati wa kikao chake na viongozi wa serikali za vijiji vya Tindiga A, Tindiga B na Ngaiti ambao wamekuwa na mgogoro ambapo amesema ni vema wananchi katika maeneo yao hususani viongozi wakawa na uelewa mzuri kuhusu maeneo yao ya kiutawala jambo litakalosaidia kwa kiasi kikubwa kuepusha migogoro ambayo hutokana na kutoelewa mipaka ya maeneo yao.

MKUU WA WILAYA YA KILOSA ADAM MGOYI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI VYA TINDIGA A, TINDIGA B NA NGAITI
Mkuuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa wito kwa wananchi kuwa na tafakari ya kina na kuwa na muda wa kuzitambua vema sheria za ardhi na tafsiri zake katika umiliki kabla ya kuanzisha migogoro ya ardhi ikiwemo migogoro ya mipaka ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.
Mgoyi ametoa wito huo Januari 9 mwaka huu wakati wa kikao chake na viongozi wa serikali za vijiji vya Tindiga A, Tindiga B na Ngaiti ambao wamekuwa na mgogoro ambapo amesema ni vema wananchi katika maeneo yao hususani viongozi wakawa na uelewa mzuri kuhusu maeneo yao ya kiutawala jambo litakalosaidia kwa kiasi kikubwa kuepusha migogoro ambayo hutokana na kutoelewa mipaka ya maeneo yao.
MKURUGENZI MTENDAJI AKITOA UTANGULIZI KATIKA KIKAO CHA VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI VYA NGAITI, TINDIGA A NA B
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Asajile Mwambambale ameiagiza Idara ya Ardhi kwenda eneo husika kwa ajili ya kuendelea na kazi ya upimaji ili kutambua mipaka ya maeneo hayo kazi ambayo ilisimama kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha na kusababisha kazi hiyo kusimama kwa muda ambapo pia amewataka viongozi wa Serikali za vijiji katika vijiji hivyo kuwa tayari na kuyakubali matokeo ya upimaji huo mara baada ya kukamilika.
VIONGOZI WZ SERIKALI ZA VIJIJI VYA TINDIGA A NA B NA NGAITI WAKISHIRIKI KIKAO.
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa