• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Divisheni
      • Utawala,Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Miundombinu ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Fedha na Uhasibu
      • Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
        • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Jarida la Mtandaoni
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

Usimamizi mbovu ni chanzo cha migogoro-DED Kilosa

Posted on: February 10th, 2022

Watendaji wa kata na vijiji wamekumbushwa kutambua kuwa wao ni watumishi wa umma ambao ni viongozi katika maeneo yao hivyo wanapaswa kuwa mfano bora lakini pia wamekumbushwa kutambua kuwa ni wasimamizi wa shughuli zote katika maeneo wanayoyasimamia.

Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Kisena Mabuba ambapo amesema athari za usimamizi mbovu ni chanzo cha migogoro mbalimbali ambapo baadhi ya watendaji wamekuwa  chachu ya migogoro kwa kutozingatia sheria, taratibu na kanuni..

Akionyesha kusikitishwa kwake na usimamizi mbovu ametoa agizo kwa watendaji wote ambao  hawajasimamia vema suala la wanafunzi wa sekondari kutoripoti shuleni kuhakikisha wanafunzi wote wanaripoti shuleni ifikapo tarehe 14/02/2022 huku akisema kumekuwa na ukiukwaji wa maelekezo katika usimamizi wa mapato ambapo ametaka fedha zote zinazokusanywa ziingizwe katika akaunti kwaajili ya kufanya maendeleo ili kutowavunja moyo wananchi katika kuchangia maendeleo.

Kisena amesema ipo changamoto kubwa katika usimamizi wa ukusanyaji wa mapato kupitia utoroshwaji wa mifugo na mazao, ukusanyaji feki wa ushuru, ukusanyaji kodi na mapato mengineyo ambapo kumekuwa na ufatiliaji na usimamizi mbovu ambao ni matokeo ya usimamizi mbovu wa mapato.

Aidha ametoa agizo kwa watendaji wote wenye mawakala waliopewa POS kufikia Jumatatu ya tarehe 14/02/2022 mawakala wote waliopo wote wawe wamebadilishwa sambamba na kubadilisha nywila(password) zote katika mashine za POS, huku akiwaagiza watendaji wa kata kuleta takwimu za maduka yote yaliyopo katika maeneo yao na kuziwasilisha ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji


Naye Mkuu wa Takukuru Wilaya Gwakisa Mwaipyana amewataka watendaji hao kujitathmini na kutimiza majukumu yao ili kuondoa malalamiko kwa wananchi pamoja na kutojihusisha na ukusanyaji fedha usio halali kwani ni kosa kisheria huku Mkuu wa Polisi Wilaya Venance Mapala akisisitiza utendaji kazi wenye weledi ikiwemo kuzingatia utoaji wa barua za dhamana kwa eneo husika na si vinginevyo sambamba na ufanyaji wa tathmini kwa wakati pindi migogoro inapojitokeza.

Tangazo

  • TANGAZO LA KONGAMANO LA VIJANA WILAYANI KILOSA April 04, 2025
  • Tangazo la kuanzishwa Dawati Maalum la kushughulikia Migogoro ya Wakulima na Wafugaji November 13, 2024
  • Tangazo la Dawati la Msaada wa Kisheria November 13, 2024
  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI LA RISIMU NA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 February 25, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAMETAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 07, 2025
  • RC MALIMA AWATAKA WAAJIRI MOROGORO KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI WAO

    May 01, 2025
  • WALIMU WAPYA 74 WILAYANI KILOSA WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI KUHUSU MAADILI NA HAKI ZA UTUMISHI WA UMMA

    April 29, 2025
  • KILOSA YABORESHA USIMAMIZI NA UFATILIAJI WA MIKOPO YA 10% KWA UNUNUZI WA GARI JIPYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

RAIS SAMIA ATENGA BILIONI 7.2 KUENDELEZA BONDE LA RUHEMBE
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • e-Mrejesho
  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI

Kurasa za Mfanano

  • e-Mrejesho
  • Mkoa Morogoro
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737847880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa