• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Divisheni
      • Utawala,Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Miundombinu ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Fedha na Uhasibu
      • Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
        • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Jarida la Mtandaoni
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

WANUFAIKA WA TASAF KATA YA MAGOMENI WAELEZA JINSI WALIVYOONDOKANA NA UMASKINI

Posted on: January 27th, 2025

Wananchi wa Kata ya Magomeni Wilayani Kilosa  wameelezea Mafanikio waliyoyapata kupitia Mradi  wa mfuko wa  maendeleo ya Jamii wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF)ambapo wamebainisha kuwa mfuko huo umewatoa  kutoka katika hali duni mpaka kufikia hali ya Wastani ambapo kwa sasa wanaweza kupata mahitaji muhimu ikiwemo Chakula,Mavazi na Malazi

 Hayo yameelezwa Januari 27,2025 wakati wa Ziara ya Viongozi wa Tasaf kutoka Makao Makuu wakiongozwa na  Mkurugenzi wa TASAF Nchini  Bw. Steven wakati wa Ziara ya kukagua Miradi ya TASAF inayotekelezwa Wilayani Kilosa.

Wakielezea mafanikio hayo baadhi ya Wanufaika wa TASAF kutoka Kata ya Magomeni akiwemo Bi Dorothea Mbombwe amesema kuwa baada ya kubahatika kuwa mnufaika wa mradi huo fedha alizozipata zimemsaidia katika masomo na kuweza kuhitimu Elimu ya Stashahada ya Maendeleo ya jamii ambapo ameiomba Serikali kuendelea kusaidia Kaya zinazokidhi Vigezo ili ziweze kuondokana na Umaskini.

Kwa upande wake Bi Lilian Samwel kutoka Kata ya Magomeni ameishukuru Serikali kwa kuanzisha Mradi huo wa TASAF Kwani amesema  mfuko huo umemsaidia kununua Cherehani kinachomsaidia kujipatia kipato kwaajili ya kuendesha familia yake kila siku.

Naye Mkurugenzi  wa TASAF Bw John Steven amesema mfuko huo wa TASAF imeweza  kufanikisha miradi mingi ndani ya Mkoa wa Morogoro yenye thamani ya shilingi Bilioni 66,pia amesema wamefanikiwa kutoa ajira za muda ambapo zimetumia kiasi cha shilingi Bilioni 23 na kutekeleza miradi 1500 Mkoani Morogoro.

 Aidha ameyataja mafanikio mengine kuwa ni pamoja na  kuwafikia Walengwa 43000 ambapo kati yao21000 wamehitimu katika Mpango wa TASAF na kuunda vikundi zaidi ya 3000 vikiwa na wanachama zaidi 36000 ambapo vimeweza kupatiwa  kiasi cha shilingi milioni 522 kwaajili ya utekelezaji.


Tangazo

  • TANGAZO LA KONGAMANO LA VIJANA WILAYANI KILOSA April 04, 2025
  • Tangazo la kuanzishwa Dawati Maalum la kushughulikia Migogoro ya Wakulima na Wafugaji November 13, 2024
  • Tangazo la Dawati la Msaada wa Kisheria November 13, 2024
  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI LA RISIMU NA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 February 25, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAMETAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 07, 2025
  • RC MALIMA AWATAKA WAAJIRI MOROGORO KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI WAO

    May 01, 2025
  • WALIMU WAPYA 74 WILAYANI KILOSA WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI KUHUSU MAADILI NA HAKI ZA UTUMISHI WA UMMA

    April 29, 2025
  • KILOSA YABORESHA USIMAMIZI NA UFATILIAJI WA MIKOPO YA 10% KWA UNUNUZI WA GARI JIPYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

RAIS SAMIA ATENGA BILIONI 7.2 KUENDELEZA BONDE LA RUHEMBE
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • e-Mrejesho
  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI

Kurasa za Mfanano

  • e-Mrejesho
  • Mkoa Morogoro
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737847880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa