• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Divisheni
      • Utawala,Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Miundombinu ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Fedha na Uhasibu
      • Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
        • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Jarida la Mtandaoni
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

WATAALAMU WA AFYA WAMETAKIWA KUTEKELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA YA MAMA NA MTOTO

Posted on: January 29th, 2025

Wataalamu na wadau wa Sekta ya Afya hususan ya mama na mtoto Mkoani Morogoro wametakiwa kutekeleza  malengo  na mikakati madhubuti waliojiwekea ya kupunguza na hatimaye  kutokomeza  vifo vitokanavyo na Uzazi pamoja na vya watoto wachanga

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka 28 Januari, 2025 wakati wa ufunguzi wa kikao cha kujadili vifo vitokanavyo na uzazi pamoja na watoto wachanga ngazi ya Mkoa kwa kipindi cha robo ya pili kilichofanyika katika ukumbi wa MT.Wilayani Kilosa.

Mhe. Shaka ambaye alikuwa Mgeni rasmi  amesema kuwa kupitia kikao hicho anatarajia kuwepo na mabadiliko kwenye huduma ya afya ya mama na mtoto ili kufikia malengo ya Kimkoa.

“Natambua na kuthamini sana Juhudi zenu katika kupunguza vifo hivi lakini niombe kikao hiki kiwe na matokeo na mikakati mipya ili kufikia malengo ya Kimkoa, Kiwilaya na Kitaifa ili kutokomeza kabisa  vifo vitokanavyo na uzazi pamoja na watoto wachanga.” Alisema Mhe. Shaka

Mhe. Shaka ameeleza kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu takwimu zinaonesha bado jitihada zinahitajika katika vituo vya kutolea huduma za afya ili kuhakikisha wanapunguza kabisa vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto wachanga .

 “Kuna kazi ya kujenga na kuaminisha wananchi wetu kwamba huduma zetu ni rafiki na huduma zetu ni salama.” Alisema Mhe. Shaka

Aidha Mhe. Shaka ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwa kuboresha na kuweka mazingira mazuri katika kutoa huduma za afya ya mama na mtoto sambamba na kuongeza idadi ya watumishi katika sekta ya Afya, kuboresha huduma katika vituo vya afya kwa kutoa dawa na vifaa tiba.

Kwa Upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Best Magoma amesema suala la afya ya uzazi na mtoto ni ajenda ya Kitaifa yenye maslahi ya nchi  hivyo kikao hicho ni cha kitaalamu  chenye  lengo ni kupeana ujuzi,  mbinu na kusaidiana kunapokuwa na mapungufu  ili yaweze kurekebishwa.


 

 

Tangazo

  • TANGAZO LA KONGAMANO LA VIJANA WILAYANI KILOSA April 04, 2025
  • Tangazo la kuanzishwa Dawati Maalum la kushughulikia Migogoro ya Wakulima na Wafugaji November 13, 2024
  • Tangazo la Dawati la Msaada wa Kisheria November 13, 2024
  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI LA RISIMU NA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 February 25, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAMETAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 07, 2025
  • RC MALIMA AWATAKA WAAJIRI MOROGORO KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI WAO

    May 01, 2025
  • WALIMU WAPYA 74 WILAYANI KILOSA WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI KUHUSU MAADILI NA HAKI ZA UTUMISHI WA UMMA

    April 29, 2025
  • KILOSA YABORESHA USIMAMIZI NA UFATILIAJI WA MIKOPO YA 10% KWA UNUNUZI WA GARI JIPYA

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

RAIS SAMIA ATENGA BILIONI 7.2 KUENDELEZA BONDE LA RUHEMBE
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • e-Mrejesho
  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI

Kurasa za Mfanano

  • e-Mrejesho
  • Mkoa Morogoro
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737847880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa