• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Divisheni
      • Utawala,Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Miundombinu ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu
      • Fedha na Uhasibu
      • Maliasili na Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
        • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Jarida la Mtandaoni
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

WATENDAJI NGAZI YA HALMASHAURI WATAKIWA KUWA WAADILIFU

Posted on: May 14th, 2025

Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanza zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa awamu ya pili ambapo watendaji wa uboreshaji ngazi ya Halmashauri wametakiwa kuzingatia uadilifu na uaminifu katika zoezi hilo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi Ndg. Ramadhani Kailima wakati wa mafunzo ya watendaji ngazi ya Halmashauri Wilaya ya  Kilosa yaliyofanyika Mei 14, 2025 katika ukumbi wa FDC-Ilonga  ambapo amesema uaminifu ni jambo la Msingi huku akiwata kuvitunza vifaa vya BVR wakati wa kutekelezaji wa zoezi  hilo.


“Naomba muoneshe na uaminifu Tume inaweza kuendelea nanyi mpaka kwenye kipindi cha uchaguzi  “. Alisema Kailima

Kailima amewata watendaji hao kuendelea kuhamasisha na kuelimisha wananchi pamoja na viongozi wa dini katika maeneo mbalimbali umuhimu wa kushiriki zoezi hilo au kutumia fursa hiyo kuhakiki taarifa zao zitakazo wawezesha kushiriki uchaguzi mkuu ifikapo Oktoba, 2025.

Kwa upande wake Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kilosa na Mikumi Ndg. Betuely Ruhega amesema zoezi hilo linaenda sambamba na uwekaji wazi wa taarifa zilizochukuliwa awamu ya kwanza ambapo tayari ubandikaji wa Daftari katika vituo umefanyika kikamilifu ili wananchi waweze kuhakiki taarifa zao.

Pia Ruhega amewasihi watendaji hao kuzingatia yale yote waliyofundishwa katika mafunzo hayo ili waweze kuwahudumia wananchi kwa weledi unaotakiwa.

Nao baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wameshukuru kwa mafunzo waliyopatiwa na kuahidi kuyatekeleza yale yote waliyofundishwa na pia wamewasihi wananchi kujitokezana kutumia fursa hiyo ya kushiriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari awamu ya pili.

Tangazo

  • TANGAZO LA MKUTANO WA BARAZA LA WAHE. MADIWANI May 22, 2025
  • Tangazo la kuanzishwa Dawati Maalum la kushughulikia Migogoro ya Wakulima na Wafugaji November 13, 2024
  • Tangazo la Dawati la Msaada wa Kisheria November 13, 2024
  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI LA RISIMU NA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 February 25, 2025
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • WAUGUZI WATAKIWA KUWA WAADILIFU MAHALI PA KAZI

    May 30, 2025
  • WAHE. MADIWANI WAISHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    May 30, 2025
  • KILOSA YAJIPANGA KUTATUA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

    May 28, 2025
  • VITENGO VYA HABARI SERIKALINI VIIMARISHWE KWA KUFANYA MAWASILIANO YA KIMKAKATI

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

RAIS SAMIA ATENGA BILIONI 7.2 KUENDELEZA BONDE LA RUHEMBE
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • e-Mrejesho
  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA PLANREP
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI

Kurasa za Mfanano

  • e-Mrejesho
  • Mkoa Morogoro
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: 0737847880

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa