Posted on: November 22nd, 2019
Maafisa kilimo wilayani Kilosa wametakiwa kutoa ushirikiano mkubwa wa kutoa taarifa pindi inapojitokeza jaribio la utoroshwaji wa mazao unaofanywa na wanunuzi wa mazao katika kata na vijiji vyao ambao...
Posted on: November 15th, 2019
Imeelezwa kuwa zoezi la utoaji wa chanjo ya surua/Rubella katika Wilaya ya Kilosa lililofanyika kuanzia tarehe 17/10/2014 hadi tarehe 21/10/2019 katika vituo 56 vya kutolea huduma ya mama na mtoto wil...
Posted on: November 15th, 2019
Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Kilosa kuendelea kukienzi kilimo kwani ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi yetu na kwamba kwa kupitia kilimo watu wanapata mahitaji yao mbalimbali ikiwemo chakula n...