Posted on: September 18th, 2018
Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata na Vijiji wilayani Kilosa wametakiwa kutambua vema majukumu yao licha ya uwepo wa ugumu na changamoto mbalimbali zilizopo ambazo haziwaondolei watumishi hao wa umma &...
Posted on: September 13th, 2018
Sera ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli ni kujenga uchumi wa viwanda na kwamba ili kuhakikisha sera hii ya kuwa na uchumi wa viwanda inafanya kazi wadau mbalimbali wa kilimo...
Posted on: September 13th, 2018
Katibu Tawala Mkoa Ndg. Clifford Tandari Septemba 12 mwaka huu ametoa rai kwa Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuongeza wigo wa kufikiri lengo ikiwa ni kiongeza kiwango cha ukusany...