Posted on: June 8th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa rai kwa wananchi kupendelea kupata matibabu katika zahanati zilizopo katika maneneo yao ya karibu kwani huduma za kitabibu zinapatikana halikadhalika dawa mu...
Posted on: June 1st, 2018
Mratibu wa magonjwa yasiyoambukiza wilayani Kilosa Dokta Eliudi Chiduo ametoa wito kwa wananchi kujijengea tabia ya kupima afya mara kwa mara kwani inasaidia kujijua kiafya na kutambua kwa haraka mago...
Posted on: June 1st, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuweka mkakakati madhubuti ili kuhakikisha mapato yote ya serikali yanapatikana hasa katika kipindi hiki cha ukusany...