Posted on: December 14th, 2023
Mbunge wa Viti Maalumu anayeshughulikia wafanyakazi Mhe. Dkt. Alice Karungi Kaijage amefanya ziara ya kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Kilos ana kusikiliza changamoto, ushauri na mapendekezo ya wat...
Posted on: December 13th, 2023
Waathirika wa mafuriko Wilayani Kilosa wamepatiwa msaada wa mahitaji mbalimbali kama vile chakula, mavazi, malazi na vyombo venye thamani Shilingi Milioni 50 ili waweze kujikwamua ki...
Posted on: December 11th, 2023
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Mussa Ali Musa amewataka Wahandisi wa majengo kufanya kazi Kwa weredi ili kuikamilisha miradi Kwa wakati uliopangwa huku akiwataka kujiepusha na vitendo vya rushwa.
...