Posted on: April 6th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Kilosa Shaka H. Shaka amewataka maafisa Kilimo kutumia pikipiki walizopewa kwa matumizi sahihi yaliyokusudiwa kwa kuhakikisha kunakuwa na tija kwa wakulima na wilaya kiujumla kwani w...
Posted on: March 23rd, 2023
Elimu ya mfumo Tausi wa kukata lesen za biashara na kufanya malipo ,kukata vibali mbalimbali na kutoa kodi za Serikali bila kufika katika ofisi husika za halmashauri umeanza rasmi kutolewa kwa wafanya...
Posted on: March 6th, 2023
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imeendelea kuneemeka na fedha mbalimbali toka Serikali Kuu katika kuwaletea maendeleo wananchi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu, kwa uwepo wa ujenzi wa sh...