Posted on: June 30th, 2022
Ikiwa ni katika msimu wa kuelekea katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nane Nane kwa mwaka 2022 rai imetolewa kwa viongozi na wataalam mbalimbali kuhakikisha shughuli zote zitakazofanyika zinaendana...
Posted on: June 29th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaj Majid Mwanga ameupa mwezi mmoja uongozi wa kata ya Kimamba A kuhakikisha ujenzi wa zahanati unafanyika katika kijiji cha Kimamba ili kutatua kero hiyo ambayo ni ya muda ...
Posted on: June 22nd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaji Majid Mwanga amesema kuwa Wilaya ya Kilosa ina upungufu wa madawati takribani elfu 14 na 400 na kusema kuwa suala hilo kwa kiasi kikubwa linamnyima usingizi hivyo...