UTANGULIZI
Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Idara inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria Na. 7 ya mwaka 1982 ya uanzishwaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Idara imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-
Mipango
Takwimu
Ufuatiliaji na Tathimini (M&E)
Kwa sasa idara ina jumla ya watumishi 5 ambapo kuna mkuu wa idara (DPLO), Wachumi watatu (3) na Mtakwimu mmoja (1).
KAZI ZA IDARA
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737-847-880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa