Mradi ukiwa katika ngazi ya kuchimba msingi tarehe 10-13/11/2021
Mradi ukiwa ngazi ya kuinua boma tarehe 16-20/11/2021
Mradi ukiwa ngazi ya lenta huku maandalizi ya kujenga kozi za juu na kenchi yanaendelea tarehe 21/11/2021