Mradi ukiwa hatua ya kuweka kifusi tarehe 15/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupanga mawe tarehe 17/11/2021
mradi ukiwa hatua ya boma tarehe 20/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya lenta tarehe 22/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga kenchi tarehe 24/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuezeka na kupiga plasta 25/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupachika madirisha tarehe 28/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuweka umeme, kupachika milango tarehe 30/11/2021
shule ikiwa imekamilisha viti na meza 02/12/2021
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa