Mradi ukiwa hatua ya kupima eneo la mradi tarehe 23/10/2021
Mradi ukiwa ngazi ya kuchimba msingi tarehe 28/11/2021
Mradi ukiwa katika hatua ya boma tarehe 19/11/2021
Mradi ukiwa ngazi ya box la lenta
Mradi ukiwa katika ngazi ya kozi za juu tarehe 28/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga kenchi na kupiga plasta kuta za nje
Mradi ukiwa hatua ya kupiga papi na matungulizi tarehe 29/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga bati, kupachika madirisha na kufanya skimming tarehe 03/12/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga rangi ndani, kuweka vigae na paa
Mradi ukiwa hatua ya kupaka rangi nje, kuweka ubao na kupachika milango tarehe 05-06/12/2021
Mradi ukiwa hatua ya kufanya wiring na kuweka umeme tarehe 12/12/2021
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa