UTANGULIZIdara ya Elimu Sekondari ni moja kati ya idara kuu za Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Idara hii ina jumla ya shule za sekondari 43 zikiwemo 39 za serikali na 4 za mashirika na watu binafsi. Idara ina jumla ya walimu 813 wakiwemo wanaume 537 na wanawake 276. Kati ya hao walimu wa sayansi ni 192 na walimu wa sanaa ni 621.Idara ina jumla ya madarasa 363 na majengo ya utawala 14 yenye ofisi 70 za walimu, pia ina nyumba za walimu 100 katika baadhi ya shule zetu.
KAZI ZA IDARA YA ELIMU SEKONDARI
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: +255714800948
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa