Kuratibu shughuli za maandalizi ya bajeti ya Halmashauri
Kuratibu utayarishaji wa utekelezaji wa mpango mkakati wa Halmashauri
Kuratibu shughuli za ukusanyaji, uchambuzi, utunzaji na tafsiri ya takwimu mbalimbali kwa ajii ya matumizi hususani katika upangaji miradi ya maendeleo.
Kuratibu shughuli za utekelezaji wa miradi mbalimbli ya maendeleo ya Wilaya
Kuandaa maandiko ya miradi mbalimbali (project write ups) kwa malengo ya kuyatumia kuombea fedha kutoka kwa wahisani mbalimbali.
Kuratibu shughuli za mipango shirikishi jamii
Kuratibu mapitio ya utayarishaji wa taarifa mbalimbali za Wilaya (District Profile) kwa mfano: Social Economic Profile, Investment Profile etc.
Kuratibu maandalizi ya mpango wa utekelezaji Ilani ya uchaguzi pamoja na taarifa zake za utekeleaji (za nusu mwaka na za mwaka mzima).
Kutoa ushauri katika masuala ya kiuchumi na kuinua pato la mkazi kwa kuimarisha kilimo na ufugaji wa kisasa pamoja na shughuli nyingine za kiuchumi.