Kusimamia Sheria, Sera, Miongozo na taratibu za TEHAMA ndani ya Halmashauri.
Kuishauri Menejimenti ya Halmashauri juu ya masuala yanayohusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wa dhana ya Serikali mtandao.
Kusimamia vifaa, miundombinu na Mifumo yote ya TEHAMA ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
Kushirikiana na ORM-TAMISEMI kuratibu na kuendeleza viwango vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
Kufanya tathmini ya mahitaji ya mafunzo ya usimamizi wa mifumo ya taarifa na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo kwa watumishi wa kitengo cha TEHAMA.
Kufanya tathmini ya hatari/hasara zinazohusiana na Miundombinu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na namna ya kudhibiti