Hatimaye Serikali imetangaza tenda kwa ajili ya kumalizia barabara ya Rudewa mpaka Kilosa kwa kiwango cha Lami yenye urefu wa KM 24
Kuanza na kumalizika kwa ujenzi wa barabara hii kutaondoa adha kubwa kwa wananchi wa maeneo haya kutokana na kupata usumbufu wakati wa msimu wa mvua barabara kuharibika haribika.
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa