MAJUKUMU YA KITENGO CHA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
1.Kusimamia utoaji wa vibali mbalimbali vya sherehe na matangazo mbalimbal
2. Usimamizi wna utekelezaji wa nyimbo za Uzalendo
-Wimbo wa Taifa
-Nyimbo za Uzalendo
-Picha za viongozi
(i) Rais aliyepo madarakani
(ii)Picha ya baba wa Taifa kuwepo mahali katika taasisi za Serikali mfano ;shule za msingi , shule za sekondari na vyuo vilivyopo ndani ya wilaya .
3.Kusimamia uendeshaji wa vituo na lugha
4. Kufanya utafiti wa maswala ya lugha sanaa mila na desturi na mwendelezo wa simulizi na michezo ya jadi .
5.Usajili wa vikundi vya sanaa ambavyo vipo ndani ya wilaya
6.Uhamasishaji wa sherehe mbalimbali na makongamano yanayofanyika ndani ya wilaya
7.Utoaji wa elimu kwa vijana pamoja na uhamasishaji wa vijana kufahamu mila na desturi za kitanzania
8. Kitengo cha utamaduni ndicho kinachoratibu na kusherehesha shughuli mbalimbali ndani ya wilaya mfano –Ujio wa viongozi wakuu wa kiserikali
9.Uhamasishaji wa mwenge wa uhuru
10. Kutoa elimu kwa wasanii waweze kuitangaza nchi yetu vizuri katika maswala ya utalii wa ndani
11.Kubainisha maeneo ya kihistoria yaliyopo ndani ya wilaya
12.Kuratibu vikundi mbalimbali vya mazoezi (jogging Clubs)
13.Ufuatiliaji wa ufundishaji wa vikundi vya sanaa na utamaduni mashuleni na vyuoni.
14.. Ni mdhibiti maonyesho mbalimbali ya sanaa zikiwemo :-
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu:
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa