Saturday 21st, December 2024
@KIJIJI CHA MBIGIRI
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kesho Tarehe 02/09/2017 atafanya ziara ya kikazi katika wilaya ya kilosa na kuzindua mirandi mbali mbali,
katika ziara yake ya siku moja Waziri Mkuu atazindua ujenzi wa barabara kutoka eneo la mnadani mpaka kiwandani na pia atazindua upandaji wa miwa katika shamba la magereza katika kijiji cha Mbigiri
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa