Timu ya uchangaji imetakiwa kujikita na kutoa kipaumbele zaidi katika maeneo ya pembezoni katika zoezi zima la utoaji chanjo ya m atone kwa watoto chini ya miaka mitano kwani wanayo haki ya kupata chanjo kwa mustakabali wa afya zao.
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaji Majid Mwanga wakati wa kikao na wataalam wa afya kabla ya kuanza zoezi hilo ambapo ametaka wasimamizi wa zoezi hilo kuhakikisha watoto wote wanaostahili kupata chanjo wanapata chanjo ambapo kwa awamu ya nne Kilosa inatarajia kutoa chanjo kwa watoto 109,414.
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa