Mradi ukiwa ngazi ya kupima eneo la mradi 28/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuchimba msingi 1-2/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kumwaga zege kwa ajili ya kujenga msingi tarehe 03/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kujenga msingi tarehe 06-10/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kujaza kifusi kwenye vyumba vya madarasa tarehe 11-13/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kufunga boksi kabla ya kumwaga jamvi tarehe 14-15/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuinua boma tarehe 16-18/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga lenta tarehe 19-20/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kujenga kozi za juu kabla ya kenchi tarehe 22-23/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga kenchi 27-28/11/2021
Mradi ukiwa hatua ya kuezeka bati tarehe 30/11-01/12/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga plasta kuta za ndani tarehe 02/12/2021
Mradi ukiwa hatua ya kupiga plasta kuta za nje mara baada ya kupiga bati tarehe 3/12/2021
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737847880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa