Posted on: July 12th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa imekusanya Mapato kiasi cha shilingi Milioni 262 kwa kuuza zao la ufuta kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.
Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkuu wa Divisheni ...
Posted on: June 30th, 2025
Wananchi ndani na nje ya Wilaya ya Kilosa wametakiwa kutumia fursa za uwekezaji zilizopo Wilayani humo ili kuhakikisha uchumi unaimarika na kuleta maendeleo.
Wito huo umetolewa Juni 30, 20...
Posted on: June 30th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka amewataka Viongozi ngazi ya kata na vijiji kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendeleo katika maeneo yao pasipo kutanguliza maslahi binafsi kwani ...