Posted on: October 18th, 2019
Katibu Tawala Wilaya Yohana Kasitila ameitaka jamii kutambua kuwa kuwa chanjo ya surua rubela na polio ni muhimu kwa afya ya mtoto kwani inamsaidia kumkinga asishambuliwe na magonjwa hayo, hivyo...
Posted on: September 29th, 2019
Imeelezwa kuwa utapiamlo bado ni changamoto kubwa kwa Mkoa wa Morogoro hasa kwa watoto chini ya ya miaka mitano na wakinamama wajawazito ambapo hali hiyo inasababishwa na jamii kuwa na uelewa md...
Posted on: September 18th, 2019
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kufikia mwezi Disemba mwaka huu iwe imejenga wodi mbili za magonjwa mchanganyiko ...