Posted on: March 14th, 2020
Shirika lisilo la kiserikali linalowasaidia watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu ili kuondokana na umaskini (CAMFED) limewafadhili watoto hao kupata uelewa wa kozi mbalimbali zinazotolewa ...
Posted on: March 11th, 2020
Kuna changamoto mbalimbali katika mnyororo wa thamani ya mazao ikiwemo upotevu wa mazao ambapo inakadiriwa kati 30% hadi 40% ya mazao ya chakula hupotea baada ya kuvuna kila mwaka kutokana na te...
Posted on: March 9th, 2020
Mwanamke ni msingi wa mabadiliko katika familia hivyo anapaswa kushirikishwa katika kufanya maamuzi ambapo wanaume na wanawake wanapaswa kushirikiana katika kazi za Maendeleo ya familia lakini pia ipo...