Posted on: January 22nd, 2020
Katika kuinua sekta ya afya Wilaya ya Kilosa imeimarisha huduma za afya kwa kuimarisha huduma za uzazi kwa wanawake na kinamama wajawazito kwa kufungua wodi mpya ya wazazi ambayo imeanza kufanya kazi ...
Posted on: January 16th, 2020
Walimu wakuu wa shule za sekondari wameagizwa kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2020 wanaripoti shuleni na kuanza masomo mara moja kwani shule zimeshafunguliwa ...
Posted on: January 10th, 2020
Mkuuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa wito kwa wananchi kuwa na tafakari ya kina na kuwa na muda wa kuzitambua vema sheria za ardhi na tafsiri zake katika umiliki kabla ya kuanzisha migogoro ya ...