Posted on: January 15th, 2021
Katibu Mkuu Kilimo Gerald Kusaya ametoa muda hadi ifikapo mwisho wa mwezi huu mkandarasi Lukolo Construction Ltd awe amekamilisha ujenzi wa mradi wa skimu ya umwagiliaji ya Kilangali ili itumike na Wa...
Posted on: January 12th, 2021
Wakati shule zikifunguliwa kwa ajili ya wanafunzi kuanza rasmi masomo yao Januari 11 mwaka huu mkoa wa Morogoro upande wa elimu sekondari umejipanga kuishi katika kauli mbiu ya hakuna kipindi kupotea ...
Posted on: January 7th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amekemea vikali kitendo kilichoonyeshwa na wanyeviti wa vitongoji 21 katika mamlaka ya Mji Mdogo Mikumi kwa kushindwa kuhamasisha wananchi kushiriki katika uj...