Posted on: December 11th, 2023
Madaraja manne yamesombwa na maji huku watu zaidi 300 wakikosa makazi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Wilayani kilosa Mkoani Morogoro na kupelekea mafuruko katika mito ya Mkondoa,Ilonga ...
Posted on: December 7th, 2023
Serikali ya Switzerland imeendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kupunguza madhara yatokanayo na mabadikliko ya tabia kupitia program mbalimbali kwa vijana kufanya shughuli rafiki kwa ma...
Posted on: December 6th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adamu Malima amefanya ziara katika kata za Rudewa na Mvumi Wilayani Kilosa ili kujionea madhara yaliyosabaishwa na mafuriko yaliyozikumba kata hizo usiku wa kuamkia Disem...