Posted on: April 29th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa imechukua hatua ya kuboresha usimamizi na ufatiliaji wa marejesho ya mikopo inayotolewa kwa vikundi vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kwa kununua gari aina ya...
Posted on: April 29th, 2025
Katika kikao cha tathmini ya lishe kwa robo ya tatu kilichofanyika Aprili 28, 2025 katika ukumbi wa halmashauri Wilaya ya Kilosa, Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka, ametoa wito kwa...
Posted on: April 26th, 2025
Katika kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa imeadhimisha siku hiyo kwa kupanda Miti 158 katika shule ya Msingi Lamlilo iliyopo kata ya Magomeni.
...