Posted on: June 26th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wa Kata ya Masanze kudumisha amani na mshikamano baina ya wakulima na wafugaji kwani shughuli zao zinategemeana.
Mhe. Sh...
Posted on: June 25th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima ameitaka Halmashauri ya wilaya ya Kilosa kuyapa kipaumbele mazao ya kimkakati kama vile kokoa ili kuinua uchumi wa wananchi na pato la Halmashauri kwa...
Posted on: June 19th, 2024
Katika kuendelea Kuunga mkono juhudu za serikali kwenye sekta ya elimu Hifadhi ya Taifa Mikumi imetoa msaada wa Madawati kwenye Shule za msingi saba zinazozunguka Hifadhi hiyo kwenye kata za Mhenda, R...