Posted on: January 16th, 2020
Walimu wakuu wa shule za sekondari wameagizwa kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2020 wanaripoti shuleni na kuanza masomo mara moja kwani shule zimeshafunguliwa ...
Posted on: January 10th, 2020
Mkuuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa wito kwa wananchi kuwa na tafakari ya kina na kuwa na muda wa kuzitambua vema sheria za ardhi na tafsiri zake katika umiliki kabla ya kuanzisha migogoro ya ...
Posted on: January 9th, 2020
Wenyeviti wa vijiji wametakiwa kuiga mfano wa utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano namna anavyowajibika na kujituma ambayo ni dira na mwelekeo kwa viongozi hao hivyo kila mmoja awaj...