Posted on: June 28th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaji Majid Mwanga ametoa rai kwa viongozi wa dini kuendlea kuhubiri amani katika nyumba za ibada huku wakiendelea kuvumiliana wakati uongozi ukiendelea kufanyia kazi changam...
Posted on: June 23rd, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaji Majid Hemed Mwanga amewataka viongozi wote wilayani humo kuwa wabunifu pamoja na kufanya kazi kwa umoja, kushirikiana bila kubaguana wala kudharauliana kwani kwa kufany...
Posted on: June 22nd, 2021
Rai imetolewa kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa na shule za sekondari kujenga msingi endelevu wa kuwa na kambi za watoto wa kike kipindi cha likizo lengo ikiwa ni kuwaweka pamoja ili wawe...