Posted on: August 25th, 2023
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Kilosa ikiongozwa na Mwenyekiti wake Amer Mbaraka , imefanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa pamoja na ...
Posted on: August 15th, 2023
Afisa Tawala Wilayani Kilosa Bi Anjalla Mono amewataka wakina mama kuhakikisha wananyonyesha watoto wao ipasavyo ili kuwakinga na magonjwa mbalimbali kwani maziwa ya mama yana virutubisho ...
Posted on: August 15th, 2023
Zaidi ya Shilingi milioni sitini na laki saba (60,700,000) zimetumika kununulia Pikipiki kwa Watendaji wa Kata 20 za Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa ili kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato,usi...