Posted on: November 11th, 2019
Novemba 11 mwaka huu imeelezwa kuwa kwa muda mrefu Wilaya ya Kilosa imekuwa ikikumbwa na migogoro ya ardhi baina ya mipaka kijiji na kijiji, wakulima na wafugaji na migogoro ya mtu na mtu ambayo...
Posted on: October 30th, 2019
Imeelezwa kuwa hali ya kiwango cha udumavu kutokana na hali duni ya lishe na udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano nchini ambayo ni mbaya Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Posted on: October 18th, 2019
Katibu Tawala Wilaya Yohana Kasitila ameitaka jamii kutambua kuwa kuwa chanjo ya surua rubela na polio ni muhimu kwa afya ya mtoto kwani inamsaidia kumkinga asishambuliwe na magonjwa hayo, hivyo...